Lee Kinyanjui atwaa tiketi ya Jubilee kuwania ugavana Nakuru

Gavana Kinuthia Mbugua wa Nakuru ametupiliwa mbali kwenye uteuzi wa Jubilee, ambapo ushindi ulimwendea  Lee Kinyanjui. Hata hivyo gavana Mbugua amelalamika kuhusu matokeo hayo.

Tags:

JUBILEE Nakuru. kinuthia mbugua Lee Kinyanjui

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories