Lobi zaendelea kutafuta nafasi serikalini


Huku Rais Uhuru Kenyatta na naibu rais wakijitosa katika shughuli ya kuunda baraza la mawaziri ambalo litatekeleza ruwaza ya muhula wa pili wa rais na kushirikishwa katika mikakati ya azma ya urais ya Ruto mwaka 2022, wanasiasa na viongozi mbalimbali kutoka maeneo mengi ya nchi wako mbioni kutafuta uteuzi katika baraza hilo. Eneo la magharibi ambalo lilimpa Rais Kenyatta viti 8 kati ya 33 vya ubunge licha ya eneo hilo kuwa ngome ya upinzani na hivyo viongozi waliomfanyia kampeni Rais Kenyatta wanatarajia kuwa atarudisha mkono. Je, nani atapata fursa na ni nini hasw akitaarifu uteuzi wao?

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Guns galore

Avatar
Story By Faiza Wanjiru
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *