Luteni Kanali Victor Mburu ashika usukani


Miaka minne baada ya kumhudumia Rais Uhuru Kenyatta kama mpambe na mlinzi wa  Rais,  Kanali Peter Njiru ameondolewa katika wadhifa huo huku luteni kanali Victor Mburu akiwa ndio mpambe mpya wa rais. Kanali Njiru anaarifiwa kuondoka kwa nia ya kuendeleza masomo huku Rais akionekana hii leo na mgeni nyuma yake..

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: NASA senators meet to elect new minority leader

Story By Saida Swaleh
More by this author