Maadili yamedorora katika mtaa wa Majengo, Nairobi

Tafakari haya….unaishi katika eneo ambalo ukahaba na matumizi ya dawa za kulevya ni jambo la kawaida….unalea …tena watoto unaowalea wana umri wa kati ya miaka kumi na kumi na mitano…wakati mwingine wanasikiza mivutano kati ya makahaba na wateja wao na kuangaliana kisha wanacheka…kwa hivyo wanajua kinachoendelea…na haya yote yanaendelea wakati ambapo utafiti unaonyesha kwamba idadi ya vijana walio kati ya miaka kumi na kumi na minne wanaoambukizwa na virusi vya ukimwi inazidi kuongezeka….kwa baadhi ya wakazi wa majengo hapa nairobi, hili sio suala la kutafakari…haya ni maisha yao ya kila siku kama anavyotuarifu mwandishi wetu Anne Mawathe.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories