Maafisa wa afya wajenga manyatta za kujifungulia wanawake Kajiado

Baadhi ya kinamama wa jamii ya wamaasai katika kaunti ya Kajiado, wamefungwa na mila ya kutoenda hospitalini kujifungua. Wao hujifungulia nyumbani kwa msaada wa wakunga wa kitamaduni wasiokuwa na ujuzi wa kutosha. Baadhi yao hufariki pamoja na watoto wanaozaliwa. Lakini sasa maafisa wa afya wameibuka na mbinu mpya ya kuwashawishi waende hopitalini.

Tags:

Manyatta Kajido midwifes ukunga

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories