Maafisa wa EACC wanasa milioni 6 nyumbani kwa afisa wa kaunti ya Nandi

Maafisa wa tume ya kukabiliana na ufisadi hii leo wamenasa shilingi milioni sita pesa taslimu katika nyumba ya mojawepo ya maafisa wa kaunti ya nandi iliyoko mjini Eldoret. Aidha maafisa hao walipata stakabadhi zinazoaminika kutumiwa katika mipango ya ufisadi.

Tags:

EACC Nandi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories