Maafisa wa GSU wafanya msako Mumias kusaka bunduki zilizoibwa

 

Afisa wa polisi aliyejeruhiwa vibaya hiyo jana katika kisa kilichopelekea kuibwa kwa bunduki saba na risasi 180 katika kaunti ya kakamega amefariki.

 

Kang’ethe thuku alifariki katika hospitali ya rufaa ya moi alikokuwa amepelekwa kupata matibabu zaidi.

 

Haya hanajiri huku wakazi wa mumias wakilalamikia nguvu kupita kiasi inayotumiwa na maafisa wanaoendeleza oparesheni ya kutafuta bunduki hizo

Tags:

Mumias

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories