Maandalizi ya maziko ya Biwott, Nkaissery, GG yaendelea
Published on: July 12, 2017 09:16 (EAT)
Shuguli za mazishi ya mwenda zake aliyekuwa Waziri wa Usalama wa ndani humu nchini Jospeh Nkaisserry zinaendelea, huku kamati andalizi ikisisitiza kuwa Nkaisserry atazikwa Jumamosi hii.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment