Maandalizi Ya Mazishi Ya Waliouawa Butere

Jamaa za polisi watano waliouwawa na afisa mwenzao huko Butere Kaunti ya Kakamega sasa wanaiomba serekali kuwasaidia na gharama ya mazishi. Afisa hao wa kitengo cha utawala waliuwawa na mwenzao usiku wa kuamkia Jumatano. Mwana habari wetu Mudasia Muhambe na habari zaidi

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories