Maandamano yafanyika mjini Nyamira kumtetea Jaji Maraga


Makombora yanayoendelea kurushiwa majaji wa mahakama ya juu humu nchini hususan kutoka kambi ya Jubilee yanazidi kukosolewa na viongozi wa kisiasa na wananchi wa kada mbalimbali. Mamia ya wakazi wa Nyamira wamefanya maandamano kuonyesha uungaji mkono wao kwa Jaji Mkuu David Kenani Maraga pamoja na majaji wenzake wa mahakama ya kilele.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Dennis Otieno
More by this author