Maandamano yalemaza usafiri katika barabara ya Kisii- Kisumu

Polisi wanasema wameanza uchunguzi kufuatia mauaji ya wanawake wawili katika eneo la daraja mbili, huko kisii â  jana usiku. Hali ya taharuki ingali imetanda kufuatia kisa hicho.â

 

 inadaiwa kwamba askari wa utawala waliwapiga risasi wanawake hao na kusababisha maandamano yalisitisha kabisa biashara. Anne mawathe na maelezo zaidi.V87pxYXT5Oo

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories