Mabaki ya ndege yapatikana ziwani Nakuru

Mabaki ya ndege aina ya helikopta iliyoanguka kwenye ziwa Nakuru mapema leo ikiwa na watu watano akiwemo rubani imepatikana mashariki mwa ziwa hilo. Aidha, inaarifiwa hakuna taarifa yoyote kuhusu manusura kwa sasa japo kikosi cha wanajeshi wa majini na wapiga mbizi kinaendelea na juhudi za kuwatafuta.

Tags:

Lake nakuru chopper crash john mapozi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories