Mabalozi wa Ulaya wakabidhi IEBC mapendekezo ya marekebisho kwenye mifumo ya uchaguzi


Waangalizi wa uchaguzi kutoka Umoja wa Ulaya wametoa mapendekezo yao kwa tume ya uchaguzi nchini IEBC kabla ya uchaguzi kufanyika mwezi ujao. Mojawapo ya matwaka hayo ni kuboreshwa kwa mitambo ya kupeperusha matokeo pamoja na teknolojia kufanyiwa uchunguzi kabla ya uchaguzi huo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Stephen Letoo
More by this author