Mabalozi wamrai Raila alegeze msimamo wake

Mabalozi wanamtaka Kinara Wa Nasa Raila Odinga kushiriki kwenye uchaguzi wa alhamisi. Mabalozi hao wanasema kuwa kuwepo kwa Raila kwenye uchaguzi kutaimarisha ushindani na kutoa nafasi kwa wafuasi wake kutekeleza haki yao ya kikatiba. Mabalozi hao hata hivyo wamesema kuwa wataheshimu uamuzi wa mwisho wa raila japo wanamtaka kuwazuia wafuasi wake kuzua vurugu iwapo watasisitiza hawataki kushiriki uchaguzi.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories