Mabalozi watishia kuwapokonya wanasiasa vyeti vya usafiri


Mabalozi kutoka Marekani na nchi za muungano wa bara Ulaya wametishia kuwawekea vikwazo vya usafiri wanasiasa wanaochochea uhasama wa kikabila na ambao wanatishia kuvuruga uchaguzi wa tarehe ishirini na sita. Mabalozi hao wametaka pande zote mbili za kisiasa kuacha kuihujumu tume ya uchaguzi na kusisitiza kuwa nasa walegeze masharti yao na Jubilee watwae mswada wa mabadiliko ya sheria za uchaguzi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Faiza Wanjiru
More by this author