Mabawabu watano wauawa, sita wajeruhiwa, Machakos

Mabawabu watano wameripotiwa kuuawa katika kaunti ya Machakos kufuatia uvamizi wa wizi ulitokea katika eneo la mitamboni usiku wa kuamkia leo, huku wengine sita wakiendelea kupata matibabu katika hospitali ya kaunti ya Makueni.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories