Mabogi 32 ya kubeba abiria yapakuliwa Mombasa

Mradi wa reli ya kisasa SGR unaendelea kukamilika. Mabehewa ya garimoshi ya kubeba abiria yatakayotumika kwenye mradi huo yamewasilishwa katika bandari ya Mombasa na kupakuliwa hii leo. Patrick igunza ana maelezo Zaidi.

Tags:

SGR reli ya kisasa mabogi

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories