Madaktari kukutana na baraza lao la ushauri

Muungano wa madaktari (KMPDU) unatarajia kufanya  mkutano wa mashauriano na wanachama wake hiyo kesho kujadili kima cha bilioni nne zilizoahidiwa na Rais Uhuru Kenyatta  kabla ya mkutano na washikadau serikalini.

Duru zinaarifu Citizen Nipashe kuwa huenda baraza la kitaifa la (KMPDU) likafutilia mbali ahadi ya serikali kwa kukosa kuangazia utekelezwaji wa mkataba wao wa makubaliano na badala yake kuwakabidhi nyongeza ya marupurupu na vyeo.

Tags:

KMPDU Madaktari mgomo wa madaktari huduma za afya

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories