Madaktari na wauguzi bado wanasusia kazi hospitali za umma

Rais Uhuru Kenyatta amevunja kimya chake kuhusu mgomo unaoendelea wa madaktari na wauguzi. Uhuru amewaomba madaktari kuipa serikali muda wa majadiliano huku kiongozi wa upinzani Raila Odinga akiitaka serikali kuchukua hatua za dharura kutatua mzozo wa mishahara ya wahudumu wa afya.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories