Madaktari na wauguzi wasusia kazi katika kaunti 3

Kaunti kadhaa zinakumbwa na mgomo wa madaktari huku kukiwa na tishio kwamba huenda madaktari zaidi wakajiunga na mgomo huo. Licha ya kutiwa saini kwa mkataba ulioruhusu madaktari kurejea kazini, kufiikia sasa wizara ya fedha haijatoa pesa za kufanikisha makubaliano hayo. Serikali za kaunti kumi tayari zimelipa marupurupu yao lakini hayakujumuisha mwezi wa januari na februari. Kunani? Anne mawathe anafafanua.

Tags:

Madaktari. mgomo wa madaktari

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories