Madaktari waanza kurudi kazini

Siku moja baada ya madaktari kutia saini mkataba w akurejea kazini, hali bado si hali katika hospitali mbalimbali humu nchini. Idadi ya madaktari waliorejea kazini ikiwa chache mno na wagonjwa katika baadhi ya hospitali wakilalamikia kukosa huduma.

Hata hivyo katika hospitali ndogondogo ambapo madaktari wachache walikuwa kazini, wagonjw awalionekana kuridhishwa na huduma waliyopata baada ya kuhangaika kwa siku 100.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories