Madaktari waendelea na mgomo wao kwa siku ya 38

Serikali kupitia wizara ya afya imetupilia mbali madai kuwa Rais Uhuru Kenyatta aliwakosa madaktari kutoka taifa la India katika ziara yake. Waziri wa afya Cleopa Mailu amesema kuwa ziara ya rais nchini humo haikuwa ya kuwatafuta madakatari wa kuajiri kutokana na mgomo unaoendelea. Aidha waziri hiyo amesema kuwa ni sharti madaktari wanaogoma warejee kazini kama ilivyoagiza mahakama.

Tags:

India cleopa mailu wizara ya afya mgomo wa madaktari

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories