Madaktari wafika kortini

Muungano wa madaktari kmpdu umewasilisha ombi la kuahirishwa kwa makataa ya kukamatwa kwao kwa wiki zingine mbili kutoa nafasi ya mazungumzo na serikali kutafuta suluhu ya mgomo ulioingia siku yake ya 53 hii leo.

Jaji wa mahakama ya viwanda amewaeleza madaktari hao kuwasilisha ombi hilo kwa pande zote husika kabla ya kufika mbele yake hiyo kesho.

Hassan Mugambi anatuchorea taswira inayowasubiri matabibu hao iwapo watatumikia kifungu hicho cha mwezi mmoja.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories