Madaktari waipatia serikali makataa ya siku 21


Madaktari wametoa ilani ya siku 21 wapewe nyongeza ya mishahara la sivyo wagome. Katibu mkuu wa muungano wa madaktari kote nchini Fredrick Oluga amesema kuwa serikali ilikuwa imewaahidi nyongeza ya mishahara na kuwa mwongozo uliotolewa jana na tume ya kutathmini mishahara ya watumishi wa umma SRC imekwepa makubaliano yao.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: | BULLDOZERS FOR SANITIZERS | Families remain in the cold after evictions from Kariobangi sewage estate

Avatar
Story By Stephen Letoo
More by this author