Madaktari wataka mkataba wa 2013 utekelezwe

Mahakama  hapa jijini nairobi imetoa uamuzi kuwa mgomo unaoendelea wa madaktari na wauguzi si halali. Akisoma uamuzi huo, hakimu Helen Wasilwa amewataka wahudumu wa afya kurejea kazini mara moja. Hata hivyo muungano wa madaktari na wauguzi  unasema kuwa mgomo ungalipo huku wagonjwa wakiendela kutaabika kwa kukosa huduma katika hopitali kadhaa za umma.

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories