Madereva wa Uber Wataka bei iongezwe

Madereva wa magari ya texi yaliyojisajili na kampuni ya Uber wamerejea kazini baada ya kugoma kwa masaa mapema hii leo. Kulingana na wamiliki wa magari hayo na hata madereva ada wanazolazimishwa kutoza abiria ni ya chini mno ikilinganishwa na masaa wanayofanya kazi na kiwango wanachotakiwa kuilipa kampuni ya Uber.

Tags:

Nairobi uber

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories