Madhira ya wakaazi wa Kisumu kupata maji

Miezi minne tangu Gavana wa Kisumu kushika hatamu za uongozi na kuahidi kutatua kadhia ya uhaba wa maji, jinamizi hilo bado linazidi kuwakaba koo wenyeji. Wakazi wa eneo la Nyamisiri katika eneo la Seme wanalazimika kutumia gharama kubwa kupata maji na sasa wanasema hali si hali tena.

Tags:

kisumu Prof. Anyang Nyong'o

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories