Madiwani wavuruga uchaguzi wa spika bungeni Migori


Shuguli za kumchagua spika wa bunge la Migori zilikatizwa kighafla baada ya vijana kuwavamia na kuwapiga wawakilishi wadi wa kaunti hiyo wakati ishara zote zilikuwa zikiashiria kwamba wakili Marwa Kerario alikuwa akiongoza katika kinyanganyiro kunyakua kiti hicho.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: High amounts of Mercury, Copper found in contraband sugar

Story By Citizen Team
More by this author