Maelfu ya wakazi wa Suguroi huko Laikipia wateseka

Hali ya msukosuko imewakumba wakazi zaidi ya elfu mbili katika kaunti ya Laikipia baada ya kuhamishwa kutoka makwao mwezi moja uliopita. Wakazi hao kwa sasa wanaishi maisha ya uchochole katika kambi moja iliotengwa na shirika la msalaba mwekundu huko suguroi kaunti ya Laikipia.

Tags:

Samburu laikipia Red Cross . IDPS Surugoi Wakimbizi wa ndani

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories