Mafundi 2 wafariki baada ya kuangukiwa na jumba

Nyumba ya ghorofa moja imeporomoka na kuwauwa watu wawili wanaodaiwa kuwa mafundi waliokuwa wakiibomoa katika mtaa wa pipeline hapa jijini Nairobi. Habari hii na nyingine tunazipata kwenye mseto wa taarifa

Tags:

pipeline building collapse

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories