Mafuriko Marsabit, Kisumu

Wenyeji wa maeneo ya nyamasaria katika kaunti ya kisumu na North Horr huko Marsabit wanakadiria hasara kubwa kutokana na kunyesha kwa mvua kubwa iliyosababisha mafuriko katika sehemu hizo. Hii ni licha ya hali mbaya ya kiangazi kilichoshuhudiwa katika sehemu nyingi nchini mwaka huu.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories