Mafuta ya Turkana kuanza kusafirishwa mwezi Aprili kwenda Mombasa

Miaka sita tangu mafuta ya petroli yapatikane katika kaunti ya Turkana mapipa zaidi ya elfu sabini ya mafuta ghafi yamepatikana. Mafuta hayo yataanza kusafirishwa mwezi ujao hadi Mombasa ili kusafishwa. Wakazi wa Turkana wanatarajia kupata ajira licha ya malalamiko ya gavana Josphat Nanok kuwa Turkana imepunjwa katika ugavi wa rasilmali hiyo adimu.

Tags:

Turkana Oil josephat nanok Mafuta ya Turkana

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories