Magari 2 ya polisi yachomwa na watu wanaoshukiwa kuwa Al-Shabaab


Huku hayo yakiarifiwa mali ya thamani isiyojulikana imeharibiwa katika mji wa Marsabit baada ya vijana waliokuwa na hasira kuandamana kufuatia kutiwa mbaroni kwa shekhe anayeshukiwa kuwa na ushirikianano na magaidi wa al-Shabaab.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: MPs want Iran envoy to stop meddling on terror cases

Story By Citizen Team
More by this author