Magari Yasiyoruhusiwa Yatashikwa

Tuangazie maswala ya uchukuzi sasa ambapo waziri wa usalama wa ndani Joseph Nkaissery imepiga marufuku matumizi ya vin’gora kwa magari yasiyoruhusiwa kisheria. Kupitia taarifa kwa vyombo vya habari Nkaissery amedokeza kuwa ni magari yaRais, Naibu Rais, polisi, na yale ya huduma za dharura pekee yanayoruhusiwa kuwa na vin’gora an pia kuvitumia. Nkaissery aidha imeshurutisha kukamatwa na kufunguliwa mashataka kwa magari yote yanayovunja sheria hii. Agizo hilo linatekelezwa mara moja.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories