Magavana wamrai Ruto azungumzie jinsi ya kulipa madeni


Magavana wamekamilisha kongamano lao la siku tatu katika eneo la Diani huko Kwale kwa kusisitiza umuhimu wa serikali kuu kutekeleza wajibu wake wa kushajiisha mfumo wa Ugatuzi.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: The Fresh Look 9PM Bulletins... #ThisIsTheStory

Story By Salim Swaleh
More by this author