Magavana wasema hawana pesa za kuendesha kaunti


Baraza la magavana sasa linaitaka serikali kuu kupitia wizara ya fedha kutuma pesa za mgao katika kaunti kwani shughuli zimelemazwa. Kupitia mwenyekiti wa barasa la magavana Josphat Nanok, kaunti hazijapokea pesa tangu mwezi Julai huku waziri wa fedha Henry Rotich akilaumu bunge la seneti kuchelewesha mswada wa kugawa fedha hizo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Saida Swaleh
More by this author