logo

Magavana wasitisha mchango wa wauguzi kwa muungano wao

By For Citizen Digital

Serikali za kaunti zimepiga marufuku mchango wa wauguzi kwa muungano wao kwanzia hii leo. Baraza la mawaziri limeamrisha hatua hii ili kuwezesha uchunguzi wa uanachama kwa kila muuguzi anayeshiriki mgomo wa kitaifa unaoendelea. Haya yanajiri huku viongozi wa muunguno wa kitaifa wa wauguzi ukishikilia kuwa mgomo bado ungalipo na hatua hiyo ya baraza la magavana ni vitisho visivyokuwa na msingi kwani vinakiuka sheria.

Also Read:

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Outrage as officer is caught on camera soliciting bribe


By Patrick Igunza More by this author


Most RecentSponsored Content