Magenge Ya Majengo – Part 2

Mnamo mwezi novemba mwaka jana, maafisa wa polisi walifanya operesheni ya msako kwenye misikiti miwili iliyo mtaa wa majengo kaunti ya Mombasa na kuwatia mbaroni zaidi ya watu 200 kwa kushukiwa kuhusika katika mafunzo ya itikadi kali. Miskiti ya Musa na Sakina ni miongoni mwa  misikiti ambayo imekuwa chini ya darubini ya serikali  kwa madai kuwa imekuwa ikiendeleza mafunzo ya itikadi kali na kushirikiana na wanamgambo wa al shabab kutekeleza maovu.  Je, mbona mtaa wa Majengo unahusishwa na maovu haya na ipi suluhu kwa matatizo yanayowakumba vijana wa mtaa huu na kwa ujumla Mombasa nzima? .mwanahabari wetu Patrick Injendi anaangazia suala hili kwenye sehemu ya pili ya makala magenge ya Majengo.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories