Magerer Akosolewa Na Baadhi Ya Wakurugenzi

Kinara wa chungwa Raila Odinga amenza juhudi za kuliokoa chungwa lisisambaratike zaidi, na kukabiliana na ukaidi unaozidi kushika kasi chamani. Hapo kesho ijumaa Odinga atakutana na wajumbe wa chama hicho kutoka kaunti za Siaya, Migori, Homabay na Kisumu mjini Oyugis, huku ajenda kuu ikiwa ni jinsi ya kukabiliana na wabunge waasi, haswa kutoka Nyanza wanaoshinikiza mabadiliko ya uongozi chamani. Vile vile, hatma ya mkurugenzi wa chama Magerer Langat sasa imeonekana kuamuliwa, huku akitakiwa kurejesha gari la chama alilokabidhiwa, na pia nambari za siri za tarakilishi za chama, zilizo na taarifa muhimu.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories