Mahakama Chini Ya Mti

Mtazamaji, si kwa kawaida mahakama kufanya vikao vyake chini ya mti palipo na miale mikali ya jua unao ambatana na joto mwingi pamoja na vumbi, lakini ndio hali inayowakumba wakaazi wa eneo la Tiaty katika kaunti ya Baringo….hii ni baada ya kesi za ubakaji, uwizi wa mifugo na, uchawi kuzidi mno, il hali mahakama zilizowekwa na serikali hazitumiki kutokana na umbali wao…mwanahabari wetu Hassan Farah na kina cha taarifa hii

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories