Mahakama: Hukumu ya kifo si lazima kwa wauaji


Sasa haitakuwa lazima kutoa hukumu ya kumnyonga mshatikiwa aliyepatikana na hatia ila atapewa nafasi ya kuthibitisha kuwa hastahili kuhukumiwa kifo, hukumu hiyo hata hivyo ingalipo. Mahakama ya juu imeamua kuwa kifungu cha 204 cha sheria hiyo hakiambatani na katiba.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: FEATURE: KAYA Forest conservation through culture

Story By Kadzo Gunga
More by this author