Mahakama kesho kuamua uchaguzi utafanyika au la


Mahakama ya kilele hapo kesho itabaini iwapo uchaguzi mpya wa urais utaandaliwa siku ya Alhamisi kama ulivyoratibiwa na tume ya uchaguzi nchini-IEBC au la. Wapiga kura watatu wamewasilisha kesi, na kutaka uchaguzi huo uahirishwe, huku wakidai anga ya kisiasa nchini kwa sasa sio sawa kwa maandalizi ya mchuano huru na haki. Jaji mkuu david maraga na kikosi chake wataisikiliza kesi hiyo hapo kesho na kutoa mwelekeo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: Guns galore

Avatar
Story By Francis Gachuri
More by this author

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *