Mahakama ya juu yabatilisha ushindi wa Kenyatta


Mahakama ya Juu imebatilisha uchaguzi wa urais uliofanyika tarehe nane Agosti na kuitaka tume ya uchaguzi IEBC kuandaa kinyang’anyiro kipya kabla ya muda wa siku 60 zijazo kwisha. Kwa uamuzi wa majaji wengi, Mahakama hiyo imetaja kuwa shughuli hiyo ilikumbwa na hitilafu ambazo ziliharibu uadilifu wa uchaguzi huo. Mahakama hiyo sasa imekuwa ya kwanza barani Afrika kuwahi kubatilisha uchaguzi wa urais kama anavyoripoti Sam Gituku.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: On Viusasa, now you can download your videos and play them back later

Story By Sam Gituku
More by this author