Mahakama yaamuru marufuku dhidi ya plastiki itekelezwe


Marufuku ya matumizi ya karatasi za plastiki itaendelea kuanzia Jumatatu kama ilivyopangiwa. Hii nikufuatia uamuzi wa korti ambao umetolewa hii leo baada ya kampuni za kutengeza mifuko hiyo kuenda mahakamani kupinga marufuku hiyo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelVideo Of The Day: KEBS MD says no mercury found in sugar

Story By Kadzo Gunga
More by this author