Mahakama yasita tena kuwafunga jela madaktari
Published on: February 03, 2017 08:33 (EAT)
Mahakama ya viwandani kwa mara nyingine imewapatia madaktari nafasi ya kuendelea na mazungumzo. Jaji Hellen Wasilwa ameahirisha kwa siku saba hukumu ya jela aliyotoa awali.
Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke
Comments
No comments yet.
Leave a Comment