logo

Mahakama yatoa masharti kwa madaktari

By For Citizen Digital

Viongozi saba wa chama cha madaktari waliokuwa wamekatamwa  sasa wanatarajiwa kurejea kwenye meza ya mazungumzo hapo kesho. Mazungumzo hayo ya siku saba ambayo yataongozwa na wawakilishi wa chama cha wanasheria na tume ya kutetea haki za binadam yanatizamiwa kufikia mkataba wa kurejea kazini. Kesi hiyo itasikizwa tena wiki ijayo.

For Citizen TV updates
Join @citizentvke Telegram channelBy Citizen Reporter More by this authorMost RecentSponsored Content