Mahakama yatupilia mbali kesi ya kupinga ushindi wa Prof Nyong’o

Mahakama kuu mjini Kisumu imetupilia mbali kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa gavana Peter Anyang Nyong’o iliyowasilishwa na mpinzani wake aliyekuwa gavana wa kaunti hiyo Jack Ranguma.

Tags:

kisumu Anyang Nyongo David Majanja Jack Ranguma

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories