Mahakama yatupilia mbali kesi ya Nasa dhidi ya mfumo mbadala wa uchaguzi

Mahakama Kuu imetupilia mbali kesi ya muungano wa upinzani NASA iliyonuia kusimamisha uchaguzi ujao endapo mfumo wa kielektroniki wa kuandaa uchaguzi ungefeli. Majaji watatu wa mahakama hiyo wanasema tume ya uchaguzi iko huru kuandaa mfumo mbadala kuandaa uchaguzi huo ili kujiandaa kutokana na hitilafu za mitambo. Haya yanajiri huku IEBC ikizidisha maandalizi ya uchaguzi tume hiyo ikijiandaa kufuatana na  washikadau mbalimbali kuelekea Dubai kukagua shughuli ya uchapishaji wa karatasi za kupigia kura ya urais.

Tags:

IEBC NASA high court

Want to send us a story? Submit on Wananchi Reporting on the Citizen Digital App or Send an email to wananchi@royalmedia.co.ke or Send an SMS to 25170 or WhatsApp on 0743570000

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories