Maharusi waliotumia Ksh. 100 wapewa zawadi

Siku moja baada ya Runinga ya Citizen kuangazia  kisa cha wapenzi wawili waliofunga ndoa kwa kutumia shilingi mia moja pekee, kwani hawakuwa na uwezo.Wakenya wengi waliguswa na simulizi yao ya mapenzi na hivyo basi wakaamua kujitolea kuwapa zawadi ambayo hawakuilalia wala kuiamkia.

Tags:

mapenzi harusi ya shillingi 100

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories