Mailu, Muraguri wahojiwa

Waziri wa afya cleopha mailu na katibu katika wizara yake nicholus muraguri hii leo walifika mbele ya kamati ya senate kuhusu Afya walikoonekana kutofautiana kimawazo kuhusu mkaguzi wa hesabu katika wizara hiyo.

Muraguri alikana kumtaka benard muchere kuachishwa kazi licha ya mailu kuthibitisha kuwa katibu huyo aliandikia wizara ya fedha barua akilalamikia utendakazi wake.

Na kama anavyoarifu hassan mugambi, haya yanajiri huku tume ya kupambana na ufisadi ikimwamuru muraguri kufika mbele yake kwa mara nyingine.

Want to send us a story? SMS to 25170 or WhatsApp 0743570000 or Submit on Citizen Digital or email wananchi@royalmedia.co.ke

Leave a Comment

Comments

No comments yet.

latest stories